SURVEY B SSE CUSTOMER MIT CITE wPOWER GRANT TANZANIA 2017 Introduction and Consent Habari, jina langu ni __________. Ninafanya kazi na utafiti wa utumiaji wa taa za sola Tanzania kutoka chuo cha marekani. Sisi sio waajiriwa wa Solar Sister. Mojawapo ya lengo la utafiti huu ni kujijfunza kuhusu sola sista na wateja wake wa vijijini Tanzania. Wewe ni mmoja kati ya watu waliochuguliwa katika huu utafiti kwa sababu wewe ni mmoja wa wateja ambae umenunua taa ya sola kutoka mjasilimia mali wa sola sista. Unauhuru wakushiriki katika utafiti huu au la. Kuweza kukusaidia wewe kuamua tutakuelezea namna utavyo shiriki na matokeo yatakavyo wasilishwa. Unaruhusiwa kuuliza swali endapo hujaelewa. ? Ushiriki wako ni wa hiari. Hautotakiwa kujibu swali lolote ambalo haupo tayari kujibu, na unaweza ukasitisha utafiti huu au mahojiano haya muda wowote. ? Majadiliano yatachukua angalau dakika 30. ? Matokeo ya utafiti huu yatumika katika machapisho. mbalimbali Utapewa mawasiliano yetu endapo utapenda kuwasiliana nasi mwisho wa majadiliano. Utafiti huu unatarajiwa kumalizika mwishoni wa mwaka 2017. Je, unamswali yoyote kuhusu utafiti huu? Je Umeridhia Kushiriki katika Utafiti huu? Yes No ? Ndiyo ? Hapana Tafadhali wasiliana na Jonars Spielberg kupitia barua pepe jspiel@mit.edu au namba za simu +255.788.432.810 kama utakua na maoni yoyote Kama unahisi utakuwa haujapenda jinsi ulivyohojiwa, au kama una maswali yoyote juu ya haki zako kama mhojiwa, unaweza ukawasilaiana na mwenyekiti wa kamati anaye husika na usimamizi wa haki za binadamu. (COUHES), MIT, chumba E25-143B,77 Massachusetts Avenue, Cambridge, MA 02139, namba +1.617.253.6787. SURVEY B SSE CUSTOMER MIT CITE wPOWER GRANT TANZANIA 2017 Introduction and Consent Habari, jina langu ni __________. Ninafanya kazi na utafiti wa utumiaji wa taa za sola Tanzania kutoka chuo cha marekani. Sisi sio waajiriwa wa Solar Sister. Mojawapo ya lengo la utafiti huu ni kujijfunza kuhusu sola sista na wateja wake wa vijijini Tanzania. Wewe ni mmoja kati ya watu waliochuguliwa katika huu utafiti kwa sababu wewe ni mmoja wa wateja ambae umenunua taa ya sola kutoka mjasilimia mali wa sola sista. Unauhuru wakushiriki katika utafiti huu au la. Kuweza kukusaidia wewe kuamua tutakuelezea namna utavyo shiriki na matokeo yatakavyo wasilishwa. Unaruhusiwa kuuliza swali endapo hujaelewa. ? Ushiriki wako ni wa hiari. Hautotakiwa kujibu swali lolote ambalo haupo tayari kujibu, na unaweza ukasitisha utafiti huu au mahojiano haya muda wowote. ? Majadiliano yatachukua angalau dakika 30. ? Matokeo ya utafiti huu yatumika katika machapisho. mbalimbali Utapewa mawasiliano yetu endapo utapenda kuwasiliana nasi mwisho wa majadiliano. Utafiti huu unatarajiwa kumalizika mwishoni wa mwaka 2017. Je, unamswali yoyote kuhusu utafiti huu? Je Umeridhia Kushiriki katika Utafiti huu? Yes No ? Ndiyo ? Hapana Tafadhali wasiliana na Jonars Spielberg kupitia barua pepe jspiel@mit.edu au namba za simu +255.788.432.810 kama utakua na maoni yoyote Kama unahisi utakuwa haujapenda jinsi ulivyohojiwa, au kama una maswali yoyote juu ya haki zako kama mhojiwa, unaweza ukawasilaiana na mwenyekiti wa kamati anaye husika na usimamizi wa haki za binadamu. (COUHES), MIT, chumba E25-143B,77 Massachusetts Avenue, Cambridge, MA 02139, namba +1.617.253.6787. A. Investigator: _____________________ B. Translator: ________________________ C. Did you drop a GPS pin with survey ID? ? Yes ? No ______________________________ Lat. _____________________________ Long. D. Village: _______________________________________________________________ Demographics Year of Birth: Gender: Male Female 1. Mwaka wa kuzaliwa: _________ 2. Jinsia: ? Kiume ? Kike Relation to Customer and Solar Sister Entrepreneur What is the name of the SSE who sold you a lantern? 3. Jina la mjasiliamali wa sola sista aliyekuuzia taa ya sola anaitwa nani? ______________ How do you know [SSEÕs name]? 4. Umemjuaje? (jina la mjasilimali wa sola sista) ? Friend / Rafiki ? Same savings group / Kikundi kimoja cha akiba ? Family / Familia ? Did not know until solar lantern sale / sikujua mpaka mauzo ya taa ya sola ? Neighbor / Jirani ? Other (specify) / Mengineo (Taja): ___________________ How long have you known [SSEÕs name]? 5. Umemfahamu kwa muda gani?(jina la mjasiliamali wa sola sista) Years Months Week ___________________ ? Miaka ? Miezi ? Wiki Purchase Why did you buy a lantern? 6. Kwanini ulinunua Taa? _____________________________________________________ Why did you buy from Solar Sister rather than someone else? 7. Kwanini Ulipendelea kununua kutoka kwa Solar Sista na sio mtu mwingine? ___________ _______________________________________________________________________ What lantern(s) did you buy? 8. Umenunua taa ya au za aina gani? ___________________________________________ Have you bought a solar lantern from someone other than Solar Sister? 9. Je umewahi kununua taa ya sola kwa mtu mwingine ukiacha sola sista? Yes No ? Ndio ? Hapana If yes, from whom did you buy it? Kama ndio, umenunua kwa nani? ____________________________________________ If yes, how much did it cost? Kama ndio, Je, Ilikugharimu Kiasi Gani? ___________________________________ TSh Are you satisfied or not satisfied with the solar lantern? Why? Kama ndio, Je, Umeridhika na Taa hiyo ya Sola au La? Kwanini?___________________ _______________________________________________________________________ Other than Solar Sister, who else do you know that sells solar lanterns? 10. Ukiachana na Sola Sista, unaweza kununua taa ya sola au mtambo wa sola kutoka kwa nani? [Taja Jina la shirika] _________________________________________________ Do you know of: Could you buy from: Do you know of: Could you buy from: Je unafahamu: Ungeweza kununua kutoka kwa: ? Solar Kiosk ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Little Sun ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Ensol ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Total ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana ? Ongeza ? Ndiyo ? Hapana ? _____________ ? Ndiyo ? Hapana Energy Access / Remoteness Does any part of the village have a grid connection? Yes No 11. Je Kuna Sehemu Yoyote ya Kijiji Hiki Kilichounganishwa na Gridi ya Umeme? ? Ndiyo ? Hapana Does your household have a grid connection? Yes No 12. Je nyumba yako imeunganishwa katika gridi ya umeme? ? Ndiyo ? Hapana If yes, for how many hours per day do you have electricity access? (hours) Kama Ndiyo? Ni kwa masaa mangapi kwa siku unapata umeme? Masaa________ What is the closest building from your house that has a grid connection? 13. Je ni Jengo lipi la karibu kutoka nyumbani kwako limeunganishwa na umeme? Jina la Sehemu:_________________________________________________ Distance from house: (mins) Walking Bicycle Boda-boda Umbali kutoka nyumbani: Dakika_______ ? Kwa Kutembea ? Baisikeli ? Boda-boda How long does it take from your house for you to get to the nearest main tarmac road where the buses pass? (mins) Walking Bicycle Boda-boda 14. Inakuchukua Muda gani kutoka Nyumbani kwako kufika Barabara ya lami ambapo mabasi ya mikoani yanapita? Dakika____ ? Kwa Kutembea ? Baisikeli ? Boda-boda Progress Out of Poverty Index (PPI) Questions PPI1. Je, nyumbani kwako ni watu wangapi wenye umri wa miaka 18 na Zaidi? PPI2. Je, nyumbani kwako ni watu wangapi wenye umri wa miaka 18 na Chini ya miaka 18? PPI3. Je wakazi wa nyumba zote wenye umri kati ya Miaka 6 mpaka 18 wanasoma shuleni? ? Ndiyo ? Hapana ? Hakuna wakazi wenye umri kuanzia Miaka 6 mpaka 18 PPI4. Je ni vifaa gani vya ujenzi vinatumika kujenga kuta za nyumba? ? Matofali ya kuchoma ? Vizingiti na udongo, nyasi, matofali ya kukaushwa na jua, au vinginevyo ? Mawe,matofali ya simenti, au mbao PPI5. Ni vifaa gani vya ujenzi vinatumika kujenga paa za nyumba? ? Nyasi, Udongo na Nyazi, or nyinginezo ? Mabati, Vigae, Tofali/Zege, au nyinginezo PPI6. Je Ni Nishati ipi Kuu inatumika katika kupikia? ? Kuni, Makaa ya Mawe, Solar, (Bio)Gesi, Maranda ya Mbao, Mabaki ya wanyama ? Mkaa, Parafini, Gesi ya kiwandani, Umeme, Jenereta/au chanzo binafsi au nyingine PPI7. Je Nyumba yako ina Televisheni? ? Ndiyo ? Hapana PPI8. Je nyumba yako ina redio, au vinakili sauti? ? Ndiyo ? Hapana PPI9. Je Nyumba yako ina Taa zozote? ? Ndiyo ? Hapana PPI10. Je nyumba yako ina meza yoyote? ? Ndiyo ? Hapana PPI11. Je umelima mazao yoyote katika makazi yako ndani ya miezi12 iliyopita? ? Ndiyo ? Hapana PPI12. Je Nyumba yako ina wanyama wowote kama Mafahari, NgÕombe, au Ndama? ? Ndiyo ? Hapana Wrap-up Is there anything else you want to tell us that you think we should know? Je, kunachochote upenda utuambie ambacho tunapaswa kukifahamu? ________________ _________________________________________________________________________ Thank you for taking the time to talk with me! Asante kwa kuchukua muda wako kuongea na mimi! Notes and observations / Maoni Yoyote: ID: _______________ - 4 -